Mauzauza Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Mauzauza - Sammer
...
(VERSE 1)
Nafunza ubongoni madudu kila nachowaza kinanisumbua vidudu..
Aaaah.. na huku kulalama si gubuu
kila kitu sikielewi nirudisheni vidudu..
Nini maana yake nambie labdaaa..
Mi wa zamani analog...
mana wenzangu na mie wanafaraja
siku hazigandi ama sinogii..
(BRIDGE)
Na wapi fungu nawazaa
la kupata mshirika asiwe na jealous
nina machungu kusazaa
mwili umedhoofika nimebaki na tetenasii
(Chorus)
Eeeeh mwenzenu mapenzi yanantoa nishai
Mauzauza mauzauza mauzauza
kila napopona hata sijidai
mauzauza mauzauza mauzauza
(VERSE 2)
Aaaah nifanye matambiko nyotaa
yangu iwake labda imezima haya mawazo
Ama nifate maandiko kupata
kila mja na muda wake
chonde chonde yasintoke mate
kinachoniumizaah sioni kizah
yananitatizaaa aaah aaaaah
(BRIDGE)
Na wapi fungu nawazaa
la kupata mshirika asiwe na jealous
nina machungu kusazaa
mwili umedhoofika nimebaki na tetenasii
(CHORUS)
Eeeeh mwenzenu mapenzi yanantoa nishaaii
Mauzauza mauzauza mauzauza
kila napopona hata sijidai
mauzauza mauzauza mauzauza