Loading...

Download
  • Genre:Others
  • Year of Release:2022

Lyrics

Ya governor

Ya Senator

Hupati Kura

Kazi Imekwisa


Round this

Wanasiasa

Nikuwarudisha nyumbani

1 by 1

Rajayjay


2022 nakula fare

Ya Governor

2022 nakula Fare

Ya senator

2022 sitakupea

Hupati kura

2022 sitakupea

Kazi imekwisa

2022 nakula fare

Ya Women Rep

2022 nakula fare

Ya mca

2022 sitakupea

Hupati Kura

2022 sitakupea

Kazi imekwisa


Uliahidi kwamba utanilisha

Nami Kura Nikapitisha

Uchaguzi ukashinda Ukaapishwa

Kisha simu zangu hukuzishika

Sasa mumerudi mashinani

Kwamba tena tuwaweke kwa jukwani

Ati miaka tano zingine tu

Mufanye kitu hamukuwai do


2022 nakula fare

Ya Governor

2022 nakula Fare

Ya senator

2022 sitakupea

Hupati kura

2022 sitakupea

Kazi imekwisa

2022 nakula fare

Ya Women Rep

2022 nakula fare

Ya mca

2022 sitakupea

Hupati Kura

2022 sitakupea

Kazi imekwisa


Pesa nayo siwezi kataa

Lakini ubunge hautapata

Vijana sai tumekuwa smata

Uchaguzi twafanya bila rabsha

Uchaguzi uwe huru na wa haki

Ubaguzi utaleta wasi wasi

Mwanasiasa afungwe akichochea

Kura zetu zisiweze potea

Afrika Mashariki tuko juu

Kwa usalama sio kwa uchumi tu

Majirani wanategemea

Kenya

Tukianguka nani ataokolea

Kenya


2022 nakula fare

Ya Governor

2022 nakula Fare

Ya senator

2022 sitakupea

Hupati kura

2022 sitakupea

Kazi imekwisa

2022 nakula fare

Ya Women Rep

2022 nakula fare

Ya mca

2022 sitakupea

Hupati Kura

2022 sitakupea

Kazi imekwisa


Bramek studios

Wanasiasa

Hampati Kura

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status