VILE IKO ft. DOMANI MUNGA MKADINALI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Ni vile iko aha ni Chupee hapa aha yoh
Bana grrrrr na senke but mi nai fanya vile iko
Mi naget mmmh mmh mmh but mi huifanya venye iko doch
Mi hushtuliwa ala lalalalalalala venye iko
Mtoto mzuri ebu vua bra bra bra bra mtoto mzuri
Kijana mzuri
Zangu ndio ziko zenyu ni ma blab bla riswa ni mapepo naichoma shada
Nimekuja na pistol umekuja na daga
Kama si ma instru ni sauti ya ma pla pla plauuuuu
Ukinishow unaeza jengwa hi haga ndio vile iko haija ongezwa
Grrr kwa senke buru magwedhe ka hater kakibonga ni buru kenge ahahaha
Niko sonko ma shugli na mali ukileta utoto unarudi nyumbani
Ama upigwe mangoto mangumi ubaki hii ni kitu moto ni movie ni classic
Yoh mi hufanya venye iko ka si raha niwe riko
Msichana mzuri tinga kitu ahaaa niwa chomee waende detoxx yoh
Chupee pon de mission na cladi ni za gikosh
Magizgiz smady kwenye ringtone after ssh ssh ficha rada na lipgloss
Staki business hainanga malipo ma witnesses wanalipwa
Niko wet wet wet sija aanikwa ndio maana bwana hananga malalamiko
Yoh ni chupee hapa mi nafanyanga tu vitu vilivyo
Ka wee ni nigga snitch toka mbio
Size yangu ya mwiko yako kijiko nasemanga tu rada venye iko
Tukiroll ndani ya show wee ni fala we si pro kama iko tuta brawl
Hii ni war ya wasee soo huna doh ondokea na ka blow ama ukule ka ngotoo