![Shukrani Mama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/30/8b2a15eaf09a41e290d41c658e9c4e02_464_464.jpg)
Shukrani Mama Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Shukrani Mama - Salim Ally
...
shukuran sana mama kwa wema wako
kwa malezi mema pia huruma zako
milele daima mi niko mbele yako
usiihuzunike ewe mamaaa
mapenzi na huruma ulinipatiaaaaa
pia malezi mema mi ukanileaaaa
pendo lako ewe mamaaa, hakika ni kubwa sanaaa mfanowake hakunaaa dunia nzimaaaa
mama nakupenda sana
nitakuenzi daimaaaa
nakuombea mema uishi salaaama
hata nikulipe niniii, haifikiii thamaniiii ya yako kubwa hisaniiiiiii we ndo langu tumainiii, furaha yangu moyoni na nuru yangu machoni
hata hvyo nataman, kwanza niondoke mm nikuache dunianiiiii
nikutakie amani uishi kwa tumaini uniombee na mimiiiii
mhmhmhhhhhhhhhhhhhhhh
mimi nifanye nini ufurahi we mama
mimi nifanye nini usihuzunike tena
mama nakupenda sana nitakuenzi daima
nachochote ntafanya ubaki salaama
mimi nifanye nini uridhike we mama
mimi nifanye nini ili uwe salama