
Sleki Sleki ft. Rekles Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sleki Sleki ft. Rekles - Fidel Rayd
...
Yah Reckless
skiza ayaa aty one two
kama we ni hater unajifanya cheki fuckyou
juu ukiniuliza mbona sipendi kukaa na watu
mahypocyte sitaki story mi hutembea sanasana masaa za curfew
aty
king kwa game naishi kwa palace
ukidai fame hakikisha wanakuhitaji kwa market
juu kama hauna jina na hauna kitu unajichocha kwa gram
we ni star ndani ya mat wakisorora unaona haibu
aah hii keki kubwa naidai yote sitagawa mi ni mchoyo buda pia ukitaka weka lawama
wapi maflower juu hizi kaburi zinakaa vibaya
mi ndo the badest motherfucker hawa marapper wanaguaya
aah come slow mbona una pupa mbona unakam mbio na manzi yako anakaa kama chura
buda shika sikio na uwache kujifanya unajuwa ambia beb akam karibu na ajifanye anafua
aya ....
hapa tu n ..s* tucheki mangwati
beb kama unahitaji form mi ndo unitafute juu kawaida sijali ata ukuje ugeuke kupe
chorus
sleki sleki bro sleki unaweza dedi broke×3
usitaje form kama hubongi story ya doh
sleki sleki unaweza bakishwa na cops
sleki unaweza badilishwa ukuwe coupse
sleki gizani upatwe na msee ako jokes
utokwe tenje na mandege upewe croacks
cheki cheki sielewi kaa haihusu doh
cheki kama si ganji manze sikucheki call
aty tangu niomoke manze sijawahi pitia baze
broh after niomoke ndio mulianza kuniita baze
saka biz saka biz saka biz .....
follow dreams follow dreams wacha kufollow shakira
sarru naye anageuka stripper juu ya views
nkama aliambia ndio aomoke lazima tuone boobs
so leo ako na major problems
kujifanya stripper na nkama bado haoni progress aty anataste kama fanta bambucha
beach hauna taste heri nikule kucha anyway
sleki sleki bro sleki unaweza dedi broke×3
usitaje form kama hubongi story ya doh
sleki sleki bro sleki unaweza dedi broke×3
usitaje form kama hubongi story ya doh
...
sleki sleki bro sleki unaweza baki broke×3
usinitaje form kama haihusu story ya doh