Lord Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Lord - Toy
...
INTRO:
Wa Ajabu.
Wewe Ni Wa Ajabu..!
Ooh No Wa Ajabu
Wewe Ni Wa Ajabu…!
Wa Ajabu *2
Lala lalala lala
Lala lalala lala *2
VERSE: 1
Unajua Nataka Kuwa Star
Onekana Kwenye Lengoo
Umenipa Zawadi Ya Ghetto Life
Imenifanya Akili Kuwa Taff
Nadamka Kwenda Mawindoni
Baraka Zako Kibindoni
Sababu Mi Nataka Better Life
Hakuna Hasiependa Good Life
CHORUS:
Uuuuu Lord Of My Life
Thanks For The Life
Thanks For The Bless Oona yeah.
Yeiye iye iyee…
Uu.. uu..Onanaa
Uu uu Onanaa Yeh *2
VERSE:2
Kwa Dua Mi Nafunga ‘Salaa
Kikomando Che Guevaraa
Unisafishie Barabaraa
Unizidishie Miamalaa
Si Wanasemaga Mguu Wa Kutokaaa
Kaombea Mtume Mtumee
Kama Ni Wewe Ndo Mgawaji Nyotaaa
Nami Yangu Ivume Vumee ,
Eee! Nagangamaa Na Sikai Kama Botion
Sijazubaa Mana Bado Haitoshii
Nahesabu Masaa Kama Radar Kwenye Motion
Nkipata Pasi Haki Yanan Sipigi Dochii
CHORUS
Uuuuu Lord Of My Life
Thanks For The Life
Thanks For The Bless Oona Yeah
Yeiye iye iyeeeh
Uu..uu.Onanaa
Uu .uu Onanaa Yeh *2
OUTRO:
Ee aa Sir God. Sir God Babaaa
Ting ting Fine ………………..
……...!..(Spiritual Melody)
Kekepele Kepee..
Kekepele kekee..
(Spiritual Melody)
….Wa Ajabuu
Wewe Ni Wa Ajabu
Oh no Wa Ajabu
Wewe Ni Wa Ajabu
Wa Ajabu…….