Rabii Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Rabii - Rachael Ngigi
...
nikweli baba ulinitoa mbali sana wakati nilichaguliwa na hosana thamani yangu mimi kuonekana uchungu kapenya moyo machozi kanibubutika Mimi mwana ilikuwa ni siku za huzuni lililobaki tumaini la kwangu likanifanya kuvumilia ninakumbuka siku za kusali kwangu nilikuhisi umenishika kwa mabega ukaniahidi mwana usijali nitakupigania na ma adui naomba nikuite rabii naomba nikuite rabii naomba nikuite rabii rabuka rabii rabuka rabiiii*2