MAPENZI GANI HII Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
MAPENZI GANI HII - Jkrules Mswahili
...
Nikitaka kumkissi hataki
Nikitaka kumpakata HATAKI
nikitaka mmumunya HATAKI
anakataa kata kata
amenificha kama sehemu za siri
hataki wasela zake kuniamili
kumbe tupo foleni zaidi ya wawili
nikamchoka weka penzi dustbini
tena sherehe ndio nyumbani
ili nisimuwaze ati
wajua pombe ndiye bibi
asiye na kisirani
tena sherehe ndio nyumbani
ili nisimuwaze ati
Wajua pombe mke mwema
sababu hana kisirani
MAPENZI GANI HII
KUUMIZANA KULIZANA
MAPENZI GANI HII
KUTEMANA RUDIANA
MAPENZI GANI HII
NAONA SIYAWEZI BANA
MAPENZI GANI HII
NIMESURRENDER SAREE SAREE
MAPENZI GANI HII
KUUMIZANA RUDIANA
MAPENZI GANI HII
KUTEMANA KULIZANA
MAPENZI GANI HII
NAONA SIYAWEZI BANA
MAPENZI GANI HII
NIMESURRENDER SAREE SAREE
MAPENZI GANI HII HII HII
Anasema ni wako kumbe nje alambwa kama icekrimu
anasema ni wako huko nje anapapaswa kama ndazi
Ndio maana nilipenda one night stand
Twende nyumbani nikufunze biolojia
Kuna topiki iitwayo reproduction
Nina uhakika utaipenda pia
tena sherehe ndio nyumbani
ili nisimuwaze ati
wajua pombe ndiye bibi
asiye na kisirani
tena sherehe ndio nyumbani
ili nisimuwaze ati
Wajua pombe mke mwema
sababu hana kisirani
MAPENZI GANI HII
KUUMIZANA KULIZANA
MAPENZI GANI HII
KUTEMANA RUDIANA
MAPENZI GANI HII
NAONA SIYAWEZI BANA
MAPENZI GANI HII
NIMESURRENDER SAREE SAREE
MAPENZI GANI HII
KUUMIZANA RUDIANA
MAPENZI GANI HII
KUTEMANA KULIZANA
MAPENZI GANI HII
NAONA SIYAWEZI BANA
MAPENZI GANI HII
NIMESURRENDER SAREE SAREE
MAPENZI GANI HII HII HII
Ayayayaa kama nawe umechoka pia nimechoka sitaki mengi
Ayayayaa basi wacha nile bata nijivinjari nizame chubuluuu
Ayayayaa jina langu Jkrules Mswahili
Ayayayaaa.