Mbogi Gaza ft. Mbogi Genje & 80Blacks Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Mbogi Gaza ft. Mbogi Genje & 80Blacks - Iduzeer
...
(Mimi ni Gaza nahutai Nikosa na daga mi Chuma miu kaza nikisha mafala na mada maungumi miuchapa wakinishinda ni papa...naleta maafa mpaka kwa wale mang'aaaa )
(Mimi Gaza head )*4....Gaza head..
Clark's ... napiga ma Clark's mangoto na rungu naenda ku thug napita na gang kila mmoja narungu na gun twasaka maweng tupiga makoto masaa ya chee twauza madree na mbang'a akikuja vibaya atakula rithee amadwe na geng juu Gaza atupendi manjege mauzii na AK tukienda ku cork na rende mavisu na ngumi za tupwa za chinku usiku pepeta pepeta manjege
(Mimi Gaza head )*4... Gaza head