![Gengetone Cypher ft. Dj Lyta, NellyTheGoon, TRIO MIO, Ssaru, Swat Matire, Rekles](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/07/da392ca79df14b9fb48839e2564a413e_464_464.jpg)
Gengetone Cypher ft. Dj Lyta, NellyTheGoon, TRIO MIO, Ssaru, Swat Matire, Rekles Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
(Man a badman ting)
Kabariang niko jaba na kashada
Ukoo flani, Ochungulo, K Shaka
Kazi ya moyo si ni kuskuma damu
Though mapenzi huconfuse binadamu
Ananjaa asikuchoche flat tummy
Na romance enda skiza bad bunny
Na ati homa si ufukuza na makali
Nipate tu rotejo na magwangi jemedari
I feel so good I don't know what come over me
Nakula chapati na sikati maji
Gode fati fati na ki-tangerine
Race kama race nimetrace kina grace
Dress to impress sunday best na ma shades
Ready ku finesse niki switch tory lanez
Benz na Mark X na manduru za mayengs
Na nampiga stick utadhani ni glue
Nilisink ship nikidenki kwa loo
Nili tongue-twist nikikula nunu
But alipiga tick juu ni Nelly the Goon (Murda)
Pokea salamu kutoka kwa Bazenga Mamii
Me ndio wajike dume Bazenga Dadii
Mtaalam kwenye hii wizara ya nanii
Na ujue nimengoja sana kuonyesha yangu bidii (ah)
Moja kwa moja nikupe zangu hoja
Show some respect juu nina nguvu za Soja
Ukipata unga usiogope kukosa mboga
Uji napigilia githaa ikisonga songa
Napaa ingawa, sina mabawa
Siku hizi ukiwapa time sana wanakuitanga chawa
Hii ndio ni dawa, mi ndio nagawa
Me navuta na rhymes ukicheki wanapagawa
Super connections, kuja for lessons
Barz zinatisha huku ndani kuna ka-tension
Staki suggestions, give me a mention
Imma turn it around if you pay attention
Trio Mio (aha), Kiitikio
Kuna watu wamekaza makalio
Wajibu mashtaka hivi leo
Ama sio? Ama sio!
Media ilitry-ingi kuni-package as a Gengetone rapper
Nikawashow kwangu si challenge, hapa genre hazi-matter
Nazichanganya hamjuangi gani inafuata
Namash-up Genge na Rhumba hadi Mugithi ukitaka
Versatility, lyrical ability
Bado mi nagrow nastudy progress na maTBT
Plus zangu ni pretty big, Nyi hapo ni ma guinea pig
Mko hapa kuonekana bora mtokezee kwa TV screen
Fame bila kakitu ni umbwakni
Tactics mnatumia nazijua, madramatic antics
Hatufanani I’m from a different fabric
Na flow ya ki-abrakadabra hapa mnawitness magic
Punchlines! Hizi ngumi haziishi
Manny Pacquiao, mnacheki vumbi ni mazishi
Ati nani hao? Hawanitishi nina mafans
Gotta City nazamisha ka kampuni ya kamisi siwafichi
kunitaja ilikua blanda mmenisurprise mpaka
Me ni kazi ngumu kama kubaptise paka
Swali tu, ukimeza sumu nini hukam right after
Naimagine mlidhani ati nitacomply faster, zii
Huyu boy ni waganis, huyu boy ni wembe
Waliitisha wape wajikate wenyewe
Nimebadilika Kifaranga nawinda Mwewe
Ka kipini ka mkuru nawapa kifo cha mende, Ki Dooms-Day
Stupid boy ulizaliwa April Fool’s Day
Cheki katoi kanakudiss kwa beat ya Boomplay
Mistari zilichorwa nikiwa preps on a School Day
Buda uko na full day!
Tuko ngwethe kana kanashika digitale
Kasteam tunatumia kama choki kama kale
Patco na njoti huwezi kosa ndani ya digitale
Kiasi niko kwa miti na matawi
Kashata hata huwezi kosa nditni
Maroom utapata nikichambua nichane
Kataanza saa nane na nikateme mangware
Ngwethe kana kanashika digitale
Niitie mboka venye we huniitia pombe
Ikue mkoko, mjengo ama tonje
Kuna Njege alipigwa na shonde
Kaa kuna masti hakukua tokens
Amenona juu amebanashi maproteins
Leo uko riko utaiva usikonde
Make-up utapimpiwa usibonde
Leo uko riko utaiva usinkonde
Magode, usitupe iokote
Leo uko riko utanyanya magode, magode usitupe iokote
Leo uko riko utapimpiwa usibonde
Kwanza ni KEG alafu makali na ndom
Na unashangaa hauna dem, buda sababu unabore
Na ka punani ina bei, cheki nailipa na loan
Me huwachanganya si nikaa hujaniskiza before
Yeah, sitoki tena mi nashinda tu home
Juu saa hii staki maform zinakuja bila doo
Ata fala akiniblame buda sigive a f*ck
Na hizi beat ukinepea nazimurder venye inafaa
Venje inafaa mavibare kwa kipara (mmmh)
After narudi nikijidai (mm mmh)
Mbona we hupenda kujigamba (mmmh)
Pull up selector rewind (mm mmh)
Bro man dem yako nikiraka (mmmh)
Ata mko naye huko dubai (mm mmh)
Mi hubonga mbaya nikitaka (mmmh)
so cheki fanye venye unadai (ola ola)
Mi wa kwa kuifanya, nikiifanya ndio wanacopy
Wacha kutuchocha, we ni mshamba unaishi Nairobi
Mtaani jo amechapa na kwa Insta anakaa ka dolly
Master wa maDoba na kitanda
Na ugotee mahater, wambie niko fiti niko better
Na nitazidi sana kuwalenga
It’s all about the paper, unasema nini?
Ka hatubongi pesa sikuskii, cheki jamaa tembeza
I feel so good i don't know what come over me
Nakula chapati na sikati maji
Gode fati fati na ki-tangerine
I feel so good i don't know what come over me
Nakula chapati na sikati maji
Gode fati fati na ki-tangerine