Dream Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Dream - Tonny Superboy
...
Hewane Records
Ni Tonny Superboy
Whoo yeah yeah
Verse 1
Niskize Baba natumia ju ya mambo tuliyopanga
Wanasema mbiu ya mambo ikilia sio jambo Kuna visanga
Na Kuna mambo mengi tulosema mi nawe Baba yamenijaza akilini
Na kwani Imani yangu ndo imekua haba ju kwa Sasa siamini
Nayo yaona
Kweli Baba umenipangia nini
Na vile nahisi moyoni
Ulisema niwache ya ulimi na vile kindani nakwamini.. Oh no no no no no
Bridge
Inafikia wakati naona niko solo mimi Tena mimi wako sijiwezi mimi
Na zile ndoto zangu zinakatika Basi karibu kwenye moyo wangu na kama nilikosa unisamehe
Chorus
Daddy Light up my dream (oh uwo)
Coz I'm hurt in my dream (oh uwo)
X2
Verse 2
Ukumbuke mi ndo ule Tony nilikujanga kanisani kila Sunday nikiwa miaka tano ouwo
Niko na good news Tena sitodanga ju mpaka Leo sijaimwona mganga na we umenibless hadi mi nashangaa X2
Bridge
Inafikia wakati naona niko solo mimi Tena mimi wako sijiwezi mimi na zile ndoto zangu zinakatika Basi karibu kwenye moyo wangu na kama nilikosa unisamehe
Chorus
Daddy Light up my dream (oh uwo)
Coz I'm hurt in my dream (oh uwo)
X2
Outro
Na nimejawa na subira Naitwa Superboy.