Maimuna Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Maimuna - Wilkido
...
Kiddo Kidding baby yeah..
Yeah yeah
Mapenzi hapo kitambo matamu halua hulambi kimoja kitamu.
Huo moyo ukapenda mapenzi ya dhati kutrendy kutopi kwa chati
Tukicheza mitindo ya densi Kukesha kuchati usiku kusikuche
Sasa moyo wajuta makubwa makuu kipya kinyemi ingawa tu kidonda
Maimuna take it slowly
Huo moyo unataka sorry
Naworry hutaki story
Natori anataka glory
Maimuna take it slowly
Huo moyo unataka sorry
Naworry hutaki story
Natori anataka glory
Naota ukizipepeta aaah
Sekete ukinizungua
Macho ukiyakonyeza aaaaah
Vipi Leo nmekosea
Maimuna maimuna
Nmekoma rejea
Maimuna maimuna
Mapenzi nmeloa
Mbona unanitesa roho
Mbona unanivunja roho maimuna
Mbona unanitesa roho
Mapenzi yamenizidi
Mbona hunitaki tena maimuna
Mbona univutie chini maimuna
Ningalijua mapenzi ni hivi
Ningalijipenda mwenyewe Nilewe
Mbona umeivunja ahadi ya jadi
Mapenzi mchezo wa karata nko kadi
Naota ukizipepeta pe pe ta slow weeeh
Sekete ukinizungua se ke te slow weeh
Maimuna maimuna
Nmekoma rejea
Maimuna maimuna
Mapenzi nmeloa
Naota ukizipepeta
Sekete ukinizungua
Macho ukiyakonyeza
Vipi Leo nmekosea
Maimuna maimuna
Nmekoma rejea
Maimuna maimuna
Mapenzi nmeloa X2