Ulibeba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Ulibeba - Janet Ndubi
...
into
Maxton Hits,
Oooh, Mwamini tu wewe,
producer Flavour
Verse 1
Umeniokoa toka dhambini iii,
Ukani ninja Kwa bei ghali iii,
Tena, Ukaniosha Kwa damu yako, ooo
Nakunifunika kwa Pendo lako, ooo
Kwa mavumbi umenitoa
Peke yangu zingeweza,
Umejawa na rehema Bwana,
Niliyekataliwa umenifanya mwana,
Umenifanya wa dhamana Bwana.
Chorus
Ninasema, Asaaaante
Ulibeba yoteeee
Ukaniweka huru
Ninasema Asaaaante
Ulibebaa yoteee,
Ukaniweka huru,
Verse 2
Na Uhimidiweee Bwana wangu,
Nao ngao yangu nimkimbiliaeee
Mimi ni kitu gani iiiii,
Tena unijue, oh mwana damu, tena unijali,
Umejawa rehema na nehema Baaba,
Umejawa rehema na nehema Baaba,
Uhesabu wingi wa makosa wewe ni wa rehema,
Si wepesi wa hasira, wewe ni wa rehema,
Chorus