
MDOMO ft. Wakadinali Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
MDOMO ft. Wakadinali - Wakuu Music
...
Wakuuuuu...Hehe.....
ALL eyez on me..juu mi ni Ile kitu mmekua mkingoja nani
Always with my G' s Juu nina maninja wako ready kudeadi nami
So kama ni vita make mkijua nitakuja Kaa nimejihami
Kuzoza lazimahapa hauwezi kupima juu mi hutembea na magwangi
Sina tym ya mdomo tym ya mdomo .tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Tym ya mdomo tym ya mdomo tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Kuna karau aliacha kiatu akikimbia tukakuja kuzoza
Niko biz all day,Ndo nifikirie fiti after Kila one hour ni kiboza
Hizi streets ndo kubonga hutapenda tukibonda watangoja sana kuona nikikonda
All day mi nazoza mfuko ndo inabonga
Vile naingiza utadhani mi donga
Nimetulia home nikiskiza marappers kemekemNdo maana nawachoma ni kama nawaweka benchi men
Na kama Kuna rapper anajochochanow I will be breaking men
Nawakimbiza sana itabidii muitishe breki men
Hizi pande hatupakangi marashi
Harufu ya bangi ka upende mtoto wa shetani
Hizi ganji Kaa ni zangu huguzangi juu vile mi husakanya Kaa mtoto wa mchawi
Mi ni gwangi waulize silalangi
Nashindanga jabba tu zabe nikipiga Kambi
Unaweza ukadhani niko high kufikiria mi mwizi
Sina tym ya mdomo tym ya mdomo tukishindwa kubonga tutembeza mkono
(Munga's verse)
Munga the punisher usione vile watu wetu wameisha .ala ala ala ala Aisha
Unanitatiza walisema tumeachana nimeisha
Niliambiwa uko na hasira hatuwezi mingle
..Hmmm...Basi nimefurahi Tena kubaki single
Jump on them huko bamas
Karau alikam lawama
Kendrick Lamar,shori alihama na ni mama
Na akaniita baba
Nilokam kama yesu juu ya. ndama
Opps opponent wananiandama
2021 nyoko hama Chelsea Chelsea
Nilijua your catfishing
Nilikuedit mara ten
I can predict unataka chicken jabba
All eyez on me juu mi ni Ile kitu mmekua mkingoja nani
Always with my G's juu nina maninja wako ready kudeadi nami
So kama ni vita mkae mkijua nitakuja kama nimejihami
Kuzoza lazimahapa hauwezi kupima juu mi hutembea na magwangi
Sina tym ya mdomo tym ya mdomo tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Sina tym ya mdomo Cheki zogo vile mi huwanga na maitoka
Nishatoka nataka kupiga mboka
Niko vodka Bado naruka Kaa rosta
Mi ni badman vile natoka lazima urun
Kumethoka vile natoka Kaa Choppa
Huwezi toka Kaa umechange kama Gotham
Siwezi bonga ushadeadi uko mochaa
Mi ni motor napepeta nikitoka
Sina Munga tuko chache tunakuja
Siwezi cool down vile Bado mi ni hotter
Niko zabe juu napenda ngusu
Vile nachachisha huwezi niruhusu
Kungfu zile za sugar
Nakula ela_ni Kaa kuku .kuku
Sina tym ya mdomo tym ya mdomo tukishindwa kubonga tutembeza mkono tym ya mdomo tym ya mdomo tukishindwa kubonga tutembeza mkono
(Kovu master:Scaaaar Mkadinali)
Yo for real....
Sina tym ya mdomo
So mkinitry mnadonyo
Snitch Rat kwa kijabe ya bwoyo
Mi nadai rap Mangwai na monyo
Kwa kilunje mangondo
Kama nyonyo ni ong'ongo ni ong'ongo
Hiyo kwa photo ni bro bro ni promo
Mmeskia Scared ni mbuzi weh kondoo
C -yat seven kwa pussy roro
Uuuh you go and ask them
Nani anatengeneza Hizo maskan
Na before tuanze kutenda we must plan
Juu Kila tym wakirenga we hustlin
You better believe this is how I live
Any day any time Niko na my G's
Sina ngeai on me na wanabambariz
Mama had to text me baby hama pliz
Make money off this hourly
My G If u want me u hola me
My dick in your girlfriend's gallery
My weed and my life that's all I need
.