
Boya Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Boya - Hanstone
...
mhhhh mhhhh mhhhh mhhhh
Kapipo
ulinifanya kichwa nazi boga akili ukichanganya mapenzi niliyaweka wazi uroda ukaniona sina mana na ukanifanya ninyenyekee mama eti kufa tufe wote mapenzi sio robo eti nijaze kibaba nikianguka niokote kwangu ikawa mapenz upofu na kwako sioni usiku baridi mithili ya jokofu nitalala na nani mama tafadhali naomba sitaki niaache ieee hata ukiniona wapi tema mate ieeee
mana penzi lote nililokupa mi faya ila bado ukaniona mi boya
kama mtoto ukanidanganya boya zangu ndoto ukanizizima
kwa bedi sitoi boko mechi ya kichina eti mtoni tutoke dinner
kumbe urembo sio upake hina tawi kwa fimbo mzizi ndio shina
mhhhh tiba ya tiba mapenz si hospitali na toka lini kahawa ukaona imewekwa sukari mhhhh
ulinichanganya akili yangu ukaivuruga eti sina mana toka mbele yangu napoteza muda mhhhh eeee uliapa nitakufa nawe mpaka mwisho nitazikwa nawe ukanifanya mm nipagawe mamama ati saivi ime baki ndoto ndoto kubembelezwa ka toto kwenye baridi nikupe joto utaadithiwa saivi penzi latokota tokotoko usukani kulia au kushoto mambo ya pwani ni kanga moko naogelea
tafadhali naomba sitaki niache ieeeei ata ukiniona wapi tema mate ieeeei
mana penzi langu lote nililokupa mi faya ila bado ukaniona mi boya kama mtoto ukanidanganya zangu ndoto ukanizizima
kwa bedi sitoi boko mechi ya kichina eti mtoko tutoke dinner kumbe urembo sio upake hina tawi kwa fimbo mzizi ndio shina
booooooooooom
and good work's medan people