
Weka Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Weka - Terabyte (TZ)
...
kichwa kiko zing zing nikiweka play kina stop
baby langu pisi Kodi zake huwezi pata shop
ukiwaiwai ma utanikuta party now
hukaikai kai dundo kubwa hatari utali dance
katakata stress na ma drinks una relax
moja mbili tatu nne tano unakunywa
it's okay stop miuno miselele utasema Nickminaj
changu nipe si mpaka makelele baby wangu we mkabaji
so give me some more
shuka mpaka waseme noo
ulivojaza kati ni soo
Nini haswa ulichobeba umoo
acha makeke mi mwenzako limenikaba koo
siwezi hata kusema loo
baby girl you having something I love
Give it to me
Give it to me
Give it to me
weka niweke
Give it to me
Give it to me
Give it to me
makeke*2
ona mi najaza unamimina
bustani yangu nzuri imestawi hivi now
nsipokaza ntaumbuka
nyumba yangu asiingie shetani noo
ona mpaka nguvu imeniishia
lege kama teja nabembeaa
malaika wa kifo ameniijia
cna la kufanya mi naliaa
figure og sio modified
beauty naturally so fine*2
so give me some more
shuka mpaka waseme noo
ulivojaza kati ni soo
nini haswa ulichobeba umoo
acha makeke mi mwenzako limenikaba koo
siwezi hata kusema loo
baby girl you having something I love
Give it to me
Give it to me
Give it to me
weka niweke
Give it to me
Give it to me
Give it to me
makeke*2