
Yanisibu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Yanisibu - King Adri
...
Manster on the track
King Adr
Langu Shina
Limejaza mapenzi
Matawi ndo maumivu
Lamana sinaa
Yangu thamani
Imepotea kipenda rohoo
Aaaah aaaaah
Mana niliteseka na penzi
Kulielezea siwezi
Ule unyonge wanguuu
Ukaifanya fimbo
Niliekosa mtetezi
Mwanamkiwa sina mleeezi
Honey weeee eeh
Chiiiiiii
Bridge
Mwezako Leo Gari bovu
Laenda kwa kusukumwa
Sina thamani Leo
Maumivu yananiumaaa
Aaaah
Tafarani nikirudi umenunaa
Aaah
Niliyajenga mazoea
Ila ajue kwamba aaah
(chorus)
yanisibu X2
nibinadamu sijakamilika
Yanisibu X2
ungenielewa
Yanisibu X2
jua moyo unaniuma
Yanisibu X2
eh eh
hali mbaya
sina ubaya
(verse 2)
Sikujua kwenye mapenzi
Kuna ubahati mbaya
Ningeelewaaa yasingenigeukiaa
Mi mtu mzima
naejua shida
Na yenye furahaa na majerahaa
Mapenzi si mdarasi
Nikishachumwa nitabweteka
Maumivu ulonipa
Mana bado hayajaishaa
Nilikupenda kimakosa
Leo imethibitika
Kuwa Ni wewe
Ulioanza Chanzo
Bridge
Mwezako Leo Gari bovu
Laenda kwa kusukumwa
Sina thamani Leo
Maumivu yananiumaaa
Aaaah
Tafarani nikirudi umenunaa
Aaah
Niliyajenga mazoea
Ila ajue kwamba aaah
(chorus)
yanisibu X2
nibinadamu sijakamilika
Yanisibu X2
ungenielewa
Yanisibu X2
jua moyo unaniuma
Yanisibu X2
eh eh
hali mbaya
sina ubaya