
Asante Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Asante - XBenjoes
...
ASANTE Lyrics
Verse 1:
kwako nasema asante
kwa wema wako na amani ,jamani wee
wacha nisemme asante daddy wee
uhai wangu, hata bila doh wee mpa roho
na mbele zako, nipo wema tena salama ahhh
ingawa tena me mwenye dhambi
ulinipendanga vile eehh
ingawa tena me mwenye dhambi
yo yo yoooooo.....
Chorus:
Baba... wacha niseme asante
Si kwa sadaka ama sifa zangu kwako
pokea shukurani
Baba... wacha niseme asante
Si kwa sadaka ama sifa zangu kwako
pokea shukurani
Verse 2:
Kwa jina lako tu hilo, miujiza za tendeka
mijeredi msalabani, ukashinda yote wee
nikupe tena nini mi mdhaifu mwenye shida
na kiburi imeni jaa me naona ninafaa
nashukuru ulinipenda na mapungufu hayo
unaye juwa hata siku ya kifo nayoo...
nikupe tena nini mi mdhaifu mwenye shida na kiburi imenijaa mi naona nifaaa
nashukuru ulinipenda na mapungufu hayo
unaye juwa hata siku ya kifo nayoo...
nakupa tena roho na moyo baba wee baba yoooo
Chorus:
Baba... wacha niseme asante
Si kwa sadaka ama sifa zangu kwako
pokea shukurani
Baba... wacha niseme asante
Si kwa sadaka ama sifa zangu kwako
pokea shukurani
Verse 3:
Spirit Language...
yesu wee yesu weee
nashukuru ulinipenda na mapungufu hayo
unaye juwa hata siku ya kifo nayoo...
nikupe tena nini mi mdhaifu mwenye shida na kiburi imenijaa mi naona nifaaa
nashukuru ulinipenda na mapungufu hayo
unaye juwa hata siku ya kifo nayoo...
nakupa tena roho na moyo baba wee baba yoooo
Chorus:
Baba... wacha niseme asante
Si kwa sadaka ama sifa zangu kwako
pokea shukurani
Baba... wacha niseme asante
Si kwa sadaka ama sifa zangu kwako
pokea shukurani