Juu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Juu - Jowie Irungu
...
If i wake up tommorrow and i didnt fight back
I loose it all,i loose it all
Na nkipata Mungu wangu umepotea nko gizani eeeh
Mi sifi moyo
Sikufi moyo cuz
Naangalia juu
Natazamia juu.... juu sanaa
Naangalia juu
Natazamia mungu
Naangalia juu
Natazamia juu....juu sanaa
Naangalia juu
Nitazamie mungu iiieee
....
Tangu hapo jadi
Umenipa amani
Ukanivisha thamani
Kwangu mm
Na tena hukujali
Pale msalabani
Ukafa ajili ya mih( ya mimi)
Gombo lako na fimbo yako
Zanifariji mimi(u nami yuh nami) bwanaa aaah
Gombo lako na fimbo yako oooh
Zanifariji mimi (u nami yuh nami)bwanaaaa aah
Naangalia juu (juu)
Natazamia juu....juu sanaa
Naangalia juu
Nimutazamie mungu
Naangalia juu (juu)
Natazamia juu.....juu sanaa
Naangalia juu
Nimutazamie mungu
Izo baraka zikamkam zikamkam ooh
Zikamkam zikamkam
Shower your blessings
All over the world
Izo baraka kamkam zikamkam
Zikamkam kamkam
Shower your blessings
All over the kenya
Gombo lako na fimbo yako
Zanifariji mimi ( u nami yuh nami) bwanaa aaaah
Naangalia juu (juu)
Natazamia juu....juu sanaa
Naangalia juu
Nimutazamie mungu
Naangalia juu (juu)
Natazamia juu...juu sana
Naangalia juu
Nimutazamie mungu
If i wake up tomorrow and i didnt fight back
I loose it all,i loose it all
Na nikipata mungu wangu umepotea nko gizani
Sikufi moyo
Usife moyo