Ni yeye Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2021
Lyrics
Nakuimbia Bwana eeeh
Nakusifu siku zote
Jina lako litukuzwe
Kwa maana we ni mku
Yale tumeshindwa
Ni yeye ashinda yote
Yale hatuwezi
Ni yeye muweza yote
Niyeye eh eh
Ni yeye eh eh
Niyeye peke eh eheeee
Ni yeye eh eh
Muweza yote
Yale tumeshindwa
Ni yeye ashinda yote
Yale hatuwezi
Ni yeye muweza yote
Niyeye eh eh
Ni yeye eh eh
Niyeye peke eh ehee
Ni yeye eh eh
Muweza yote
Natumaini uwezo wako
Naamini katika upendo wako
Yale magumu
Nikiwa na wewe niko sawa
Vitisho vyote
Ukiwa na mimi vyote ni bure
Sababu yako nitashinda vita zote
Nikiwa pamoja na wewe nitashinda
Vitisho vyote vikwazo vyote
Nitashinda aaah ah ah
Nitashinda
Nitashinda aaah ah
Nitashinda
Nitashinda eeeh eh eh
Yale tumeshindwa
Ni yeye ashinda yote
Yale hatuwezi
Ni yeye muweza yote
Niyeye eh eh
Ni yeye eh eh
Niyeye peke eh eheeee
Ni yeye eh eh
Muweza yote
Yale tumeshindwa
Ni yeye ashinda yote
Yale hatuwezi
Ni yeye muweza yote
Niyeye eh eh
Ni yeye eh eh
Niyeye peke eh eheee
Ni yeye eh eh
Muweza yote
Yale tumeshindwa
Ni yeye ashinda yote
Yale hatuwezi
Ni yeye muweza yote
Niyeye eh eh
Ni yeye eh eh
Niyeye peke eh eheee
Ni yeye eh eh
Muweza yote