
Nairobi ft. Boutross, Scar & Silverstone Barz Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nairobi ft. Boutross, Scar & Silverstone Barz - Barak Jacuzzi
...
for real
Buda karibu Nairobi rende ni wrong kuaribu ni hobby
Ur chick should be checking na pongi
Jichungereal mjamaa utajuja you know me
Naichapa naichapa naichapa mpaka kwa kichaka naichuja majioni
Huyo chura alidai mi ni stoko c uongo hizo time sikubaguanga pongi
Na siifu rende naipuliza
Dishi orenge managu njiva
Aki baby ningekuekea MPESA ni venye we umejaza FULIZA
Kasheshe udaku riba
Iendee mbele anaakuu reverse
Njegea njege before kuniguza
Rende ni genje unaeza kauliza
Yo fishi nimekusoma umeshinda na usooro
Ulitudai hii time ya corona bro hukupiga mashow
Mi si fish mi ukiniona jua mida ni wrong
Huku street beef huwachoma ongeza mzinga na chrome