
Yamenizidia Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Yamenizidia - Mavokali
...
ooh mapenzi we mwenyewe unajua
yanaumiza hatar
yanaumiza hatar
ooh mapenzi ukija kuingia
nakupa tahadhar
nakupa tahadhar
yakikolea baraaah
tena furaha yani furahaaa
kuna watu wanapost majerahaa
yan karaha hawana furahaa
tena ukajiona unapendwa
wakikutumia wanakuona
kinyaaaaa
Na wengine hadi tatoo wamechoraa
yakishawakuta wanajuta
baraaaa
Aah Najipa imaniii
Nitapona×2
Ila stamaniiiih
Nitapona ×2
Eh vibayaaa
Yamenizidia×3
wakati unawaza kumpenda
penginee
mwenzako anawaza kumpost
mwengine
lakin bado utahudumia
menginee aahh
kashindwa kutambua umuhimu
penginee.
Atakupanda kichwani
ili mapezi uyachukieee
kiti Atapanda shetani
utaona bora umchuniee
Aah najipa imaniii
nitapona ×2
ila stamaniii
nitapona ×2
Eh. vibayaaa
Yamenizidia
yamee nizi diaaa
yamenizidia
Yame nz diaaaaa
yamenizidia
yame niz diaaa