Donge Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Donge - Cool Music (TZ)
...
INTRO
Dreamboy na dee baba on this one
Mother mary
Aiyee iyeee iyeee iiiih eeeh..
Ona nana eeeh...
PRE - CHOROUS
Wangejua tunavyopenda
Pendana pendana wenyewe
Wangejua tunavyopenda
Pendana pendana wenyewe
CHORUS
Wanaona haya
Wanaona donge
Wanaona haya aah
Wanaona donge
VERSE 1
Sitosema no sitosema hapana
Na kwa penzi lako till i die
Baby gimme more na kwako na pambana
Na sitokuacha mi walahi
Mapenzi raha wa wili
Utunze zangu nitunze siri
Wote tuwe wa kweli
tamaa nazo Tuzikabiri
BRIDGE
Please baby no baby no
Achana wanayosema
Achana nao achana nao
Pete uvikwa chanda chema
Oh baby no oh baby no
Achana wanayosema
Achana nao achana nao
Pete uvikwa chanda chema aaah ah
CHOROUS
( hawapendi hawaendi hao)
Wanaona dongea
(wanaona donge, wanona donge )
Wanaona haya aah
(Wapuuze, wapuuze eeh)
Wanaona dongea
(Hawapendi tusonge eeh)
Wanaona haya aah
HOOK
Yeeh eeh
Am gonna fight for the love
Your my love, sikuachi forever aah
Am gonna fight for the love
Your my love, sikuachi forever aah
Am gonna fight for my love
Your my love, sikuachi forever aah
Am gonna fight for the love
Your my love, sikuachi forever aah
VERSE 2
Nakumbuka zamani, hatuna kitu ndani
we ulivumilia
Leo afadhari, hata mitaani
ngoma wanazisikia
Wanataka lengo wakupate
Uniachee muhuni nidate eeh
Ooh basi baby nikumbate
Unishike nami nikushike eeh
Wanakesha kwa sangomaa
Vita ishakua noma, binadamu wabaya
Ooh Baby unanisoma
Wendo dawa nitapona, hali ishakua mbaya
BRIDGE
Please baby no baby no
Achana wanayosema
Achana nao achana nao
Pete uvikwa chanda chema
Oh baby no oh baby no
Achana wanayosema
Achana nao achana nao
Pete uvikwa chanda chema aaah ah
CHOROUS
( hawapendi hawaendi hao)
Wanaona dongea
(wanaona donge, wanona donge )
Wanaona haya aah
(Wapuuze, wapuuze eeh)
Wanaona dongea
(Hawapendi tusonge eeh)
Wanaona haya aah