
Ayeh Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Ayeh - Dalion
...
nlisha sema Hayo mapenzi siwezi
Ilanikajikaza kwako ooh
nlisha kanyaga
utelezi kishenzi ila nikaja dondokea kwako ooh
kilaa kizuri nlicho fanya kwako kibaya
ukakiona hakifai
kila nikitaka ata kukwacha
nashindwa nafsi inanidai
NASEMA
ooh na Moyo unaniuma
ooh na Moyo unaniuma
NASEMA
ooh na Moyo unaniuma
ooh na Moyo Unaniuma
pesa sina gari sina ila nina mapenzi ooh
leo safari kwa miguu kesho
mwendo wa mabenzi ooh
Ayeh Ayeh kwako ntabaki mwenyewe
Ayeh Ayeh nawala sito biga misele
Ayeh Ayeh kwako ntabaki mwenyewe
Ayeh Ayeh 'Ayeh
mama mia vumilia kuwa na nia ama unapenda nikilia mapenzi kung'ang'ania ukanizuga na mama beibe mwisho wasiku ukanikatia umeme au kisa ni mapene bora useme
NASEMA
ooh na Moyo unaniuma
ooh na Moyo unaniuma
NASEMA
ooh na Moyo unaniuma
ooh na Moyo Unaniuma
Ayeh Ayeh kwako ntabaki mwenyewe
Ayeh Ayeh nawala sito biga misele
Ayeh Ayeh kwako ntabaki mwenyewe
Ayeh Ayeh 'Ayeh