
Best Of Rayvanny Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Best Of Rayvanny - DJ Lyta
...
Ilikua safari ndefu yenye mateso
machozi mizigo vikwazoooo
ila yote umenitua....naomba penzi letu lisife kesho
utanipa pressure mawazooo chonde mama utaniua..na vile hujui kununa fundi wa kudeka ata sijakutekenya unacheka oooh tambuaa ushanideka ata bila chakula nanenepa my love salama nikiwa na wewe ata kama nina shida nasahau sura kama malaika na wala hauringi kwa dharau lawama acha nipewe nitoke duniani angalau usije ukanyanyasika ila mpenzi usahau...io oooh aaaae mi amor aaae my love aaae teamo ..I love you*3...I love you
sura ya mama umbo lawama unayabia miguu unanichanganya ukiinama naangalia tatoo nipakulie chakula mama sikomi asubui mchana mpaka jioni michezo unayajua mama msomi kwenye kitovu kifua mi sikioni... salama nikiwa na wewe ata kama nina shida nasahau sura kama malaika na wala hauringi kwa dharau lawama acha nipewe nitoke duniani angalau usije ukanyanyasika ila mpenzi usahau iooo oooh aaaaae mi amor aaae my love aaae teamo . I love you .. I love you baby I love you ... I love you