
Ukimya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Ukimya - Quick Rocka
...
......
(Switch Rock)
Quick
....
....
....
Wasi wasi wa mapenzi
Hurumaaaa!!!
Siyo Kama matatizo nayaweza mama yanaumaaaa!!
Mpaka Kiza Kinatanda
Unahisi Hauonekaniii!!!
Sema Me Ndo Nakupenda
Najifanya Kama Siooooni
Mmmmh!!!
Kwako kauli sina aaanh!!
Akili Ndo inakutuma Aaanh!!
Umedanganywa Na Ukimya
Leo Penzi Lageuka Utumwaaah!!
....
Ukimya Wangu Siyo Uogaaaa!! X 4
.....
.....
......
Hua nakuona unavyorudi Night na ma Love Bites
Mezani Chakula Hakuna Ila Navunga Tuuuuu!!
Hata unikute Na Furaha Utanuna
Tuuuu!!
Au
Ndo Ushajua
I Love You { i Love you }
Kwako Kauli Sinaaaah!! Akili Ndo inakutumaaah!!
Umedanganywa Na Ukimya Leo
Penzi lageuka UtumwaaaH!!
Ukimya Wangu Siyo Uogaaaaah!!! X 4
I Don't Know what's Killing Me More
Talking to You or Not Talking to you
If You could read my mind right know You'll be in Tears
( switcher Baba )
Rock
......