USIENDE Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
USIENDE - Elnaves Music
...
Intro :
Wajua nakupenda bae?
Wajua nakupenda sana ?
Mbona waniuzusha bae ?
Wajua waniumiza roho ?
If I ain't gotta leave with you ,
There is no point living life ,
Sm you should know by know,
In my life you always mean alot to me
Chorus
Wajua nakupenda ma'
Kwa mwengine sitokwenda ma'
Ata kama wanachonga ma'
Oooohhh , oooohhh
Wajua nakupenda ma'
Kwa mwengine sitokwenda ma'
Ata kama wanachonga ma'
Oooohhh , oooohhh
Verse 1:
Why you go leave me ,
You know you drive me crazy ,
When it comes to love you know am kinda lazy
I don't wanna hurt you are my baby ,
I can treat you better coz you are my lady ,
Mbona Wadai kuenda waenda wapi mum ,
Nina surprise nikupeleke Netherlands ,
Nikupe flower uridhike maisha mum ,
Kukupata Mie wajua Ni bahati Hun,
Chorus
Wajua nakupenda ma'
Kwa mwengine sitokwenda ma'
Ata kama wanachonga ma'
Oooohhh , oooohhh
Wajua nakupenda ma'
Kwa mwengine sitokwenda ma'
Ata kama wanachonga ma'
Oooohhh , oooohhh
Verse 2
Nashakusema ntakupeleka kwa wazazi wangu
Nashakusema ntakupeleka kwa wazazi wangu
Moyoni mwangu mama nimekuweka aaaaahh
Moyoni mwangu mama nimekuweka aaaaahh
Nishakupanga ndoa mimi Na wewe
Wachana nao wanapiga misele
Kwangu mm nishakuweja moyoni
Baby njo kwangu kidogo
Unanipani kama misolo
Wengine wanataka kilombo
Nyumba Ni kwangu sio misolo
oooohhh aaaaahh