
Slow Down ft. BenLuke Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2021
Lyrics
Moyo wangu unaniuma, mimi unaniuma
Moyo wangu unanuna, mimi Unanuna
Wanapo wakisema mengi kuhusu wewe
Wanapokua wakisema mengi kuhusu wewe
Asa go down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Go down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu eeh
Wapo wanapenda tuachane mimi nawe
Mimi nawe
Wapo wasopenda tusiachane mimi nawe
Mimi nawe ehh
Napenda ukikata baybe
Shawty eehh
Sipendi hukinuna kimwali
Shawty ehh
Inuka simama
Katika taratibu
Inuka simama
Nenda taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Asa go down
Go down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Go down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu ayy
My bayby eh
My cheri oh
Unanivunja moyo
Unanivunja moyoo
I like when you go down, slow down
Cheza taratibu
Usiende haraka mama
Usini hazibu
Maringo maringo
Mi napendaga sana
Ukienda slow down
Mi napenda
Asa go down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Go down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Baby baby go down
You know you got me fall in love
I'm losing control now
Ukienda slow down
Baby you love doing things to me
I'm loved girl and you're only one
Baby i wish you put down on me
Yaani
All on me
Up down one time
Mi napenda ukilegeza
Ukienda yaani up down
Slow down
Kinyume nyume, mi nakwenda
Yaani eeh utam
Moyo wangu yaani nikikuona
Hunaponaa
Moyo wangu unanuna
Aeay
Asa go down
Cheza taratibu inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Go down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Slow down
Cheza taratibu
Inuka simama
Katika taratibu
Halla!...
Shutout to big bro!
Ayub brother!
Sharobaro!
I got mourtherf**K...
Kamara in the house!