![Kula Nao ft. Blakangel](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/27/877ff930385e4434b51d0224186dcae1.jpg)
Kula Nao ft. Blakangel Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Kula Nao ft. Blakangel - Gabiro Mtu Necessary
...
Kula Nao Tunakaa Tunaishi Nao
Mafala ni masnitch kumbe tabia zao
Kula Nao tunakaa tunaishi nao
Tunawapima tunakula mpaka dada zao
Hehehe Yabayaba yaba doo doo
We no say dem nah ready
nilikuuudhi last year
na bado tena this year
hii ya this year ni kubwa
ju nitakuadisia
ulinisema last year
this year utahadithia
(hahaha) aki ya nani utalia
hainihusu najua mjinga ndio aliwao
nawapa busu na mimi sio Judah shauri yao
wabaki Misri staki shida za maPharaoh
ju inakuuma piga ripoti leta karao
(damn) na mtaani nikuchomeshe ka-ndom
nikupe chapo dondo ikiwa fiti ugali home
na bado ukuwe snitch hukuji show nikiperform
unapenda ngoma zangu na hauna moja ata kwa phone
na mtaani nikupe ka ndom
nikupe pia za macho uskume wiki ukiwa form
na bado ukuwe snitch haukuji show nikiperform
unasema wewe ni fan n hauna ngoma ata kwa phone
Kula Nao Tunakaa Tunaishi Nao
Mafala ni masnitch kumbe tabia zao
Kula Nao tunakaa tunaishi nao
Tunawapima tunakula mpaka dada zao
beshte yako anakupimia
ni vako anakulia
umwache solo na bibi uone akikaribia
hatemi mate anameza ni kweli anakazimia
huyo ni snitch apigwe teke punda milia
jitoe kambi ju unasuck kama gunia
uko na udaku kama rende ya kuwatch Maria
valishwa sketi ongeza pia na sidiria
huh itakuuma this year
gizani twende wote zone
unanipiga ngeta unanipora mpaka phone
usije kusahau you can never walk alone
no man is an island I'm here when you're gone
mshawahi kwenda wote zone
ukapigwa ngeta ukanyang'anywa mpaka socks
na mtu anakutusi ulimsaidia akawa don
don't drink and drive ju mbiguni hakuna ndom (yagaaa)
Kula Nao Tunakaa Tunaishi Nao
Mafala ni masnitch kumbe tabia zao
Kula Nao tunakaa tunaishi nao
Tunawapima tunakula mpaka dada zao