Mwanadamu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mwanadamu - Meshack Luoga
...
Mwanadamu mwanadamu
umemwacha Mungu mwanadamu
Matendo yako yananuka Mbele za Mungu
Matendo yako hayafai Mbele za Mungu
Yakupasa ugeuke
na uifuate njia iliyo njema
kumbuka Mungu alikuleta ulimwenguni
Ili uyafanye Mapenzi yake
umsifu
na kumtukuza siku zote
hallelujah
Ehiiiiii Mhhhhhhh ahhhh mhhhhh ahhhhh
heeeee yahhhhh lolololololoooooo
Mwanadamu mwanadamu ohhhhh
1st Verse
Mhhhh Nikikutazama
Naiona kesho yako
nikitazama macho yako
naona neema mbele yako
ninajua si kusudi lako
ibilisi kakutawala
tumaini langu siku moja
utaiookea neema hiyo
utaipokea neema ya wokovu
Cholus!!
Ni sauti yake Bwana Yesu ah inakuita
njooooooo mwanangu njooooo
Eh ni sauti yake mwokozi wako inakuita
njooo mwanangu njooooo
njoo nikutue mizigo yako....... njooo
njoo nchukue laana yako....... njoooo
nakuita mwanangu.......
njoooo mwanangu njooo
njoo nichukue mizigo yako mwanangu
njooo ni chukue laana yako
nakuita mwanangu
heeeeeeh!!!!