![Mosala ft. Dishon & C Priz](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/22/a91f598268e340f78fbb08015fed88e4.jpg)
Mosala ft. Dishon & C Priz Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
(Aah)
Antwany
Antwany
Antwany
Nikama umechokoza the wrong crew fool
Nikama
Nikama
Antwany
Antwany
Nikama umechokoza the wrong crew fool
Success nikucheza na the right tools true
Tuko mbogi tuna support ya the movement too
Unahate juu niko ndani ya the business boo
Nikama umechokoza the wrong crew fool
Success nikucheza na the right tools true
Tuko mbogi tuna support ya the movement too
Unahate juu niko ndani ya the business
boo
Antwany verse
No wonder mnahate
Cause chakula imejaa kwa plate
Enda ufunge gate
Hii side hakuna space
Para zangu huwezi relate
Mention ganji siwezi late
Acting funny hold up mate
Trynna play witcha fate
Kumbe we ndio delay
Check mans outta the way
Need a vacay like today
But I hold on to the pay
Spend it anyway
I dont care what you say
Hii ni info na relay
And I tell it to your face
Dishon verse
Nikama umecheza na the wrong crew fool
Am never full
Niko njaa niko hustle hii mtaa
Naota mambota shiny shiny mbogi star
Kusota no no out here
Mashida hudisappear
Ukiwa mjanja
Unapenda sana hapana
Unapanda kila ladder
All haters weka under
Then later unawabamba
Tuma kitu kwa number
Nunua shamba
nyumba na kitanda
Hadi za kupanda
Leo tuko slender
Kesho lingala
Band member
Remember
Nikama umechokoza the wrong crew fool
Success nikucheza na the right tools true
Tuko mbogi tuna support ya the movement too
Unahate juu niko ndani ya the business boo
Nikama umechokoza the wrong crew fool
Success nikucheza na the right tools true
Tuko mbogi tuna support ya the movement too
Unahate juu niko ndani ya the business boo
--- www.LRCgenerator.com ---