![Sina Ujanja ft. Nyota Ndogo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/19/e7d8903804d344b8b3d3850597a16609.jpg)
Sina Ujanja ft. Nyota Ndogo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Sina Ujanja ft. Nyota Ndogo - Mr. Loveness
...
Mahabuba kipenzi
Roho yangu mie
Kwako ni kipi nitake
Nisikose mie
Umeniroga kimapenzi
kwako bwege mie
You ma future ma babe haayee
Huwaga najiuliza mbona hukuwepo zama
Niliumizwa mapenzi yakakosa maana
Huwaga najiuliza mbona hukuwepo zama
Haki niliumizwa mapenzi yakakosa maana heeeh ee
Ona sasa life imekua best
napikiwa nashiba kishenzi
Yaani maisha raha bila stress
mambo shwari Loveness
Ona sasa life imekua best
Napikiwa nashiba kishenzi
Yaani maisha raha bila stress
Mambo shwari Loveness
Sina ujanja
Sina ujanja
Sina ujanja
Mimi kwako nyang'a nyang'a
Sina ujanja
Sina ujanja
Sina ujanja
Sema chochote my love
Na mimi nakupenda sana aah
Kwako mi ndio nishagada aah
Utaumizwa sana na sio kila siku ooh
Utanyanyaswa sana na sio kila siku ooh
Ona sasa life tuko best
24/7 smile kwenye face
Haya maisha haya ndo best ooh ohh
Ona sasa life tuko best
24/7 smile kwenye face
Haya maisha haya ndo best ooh ohh
Sina ujanja
Sina ujanja
Sina ujanja
Mimi kwako nyang'a nyang'a
Sina ujanja
Sina ujanja
Sina ujanja
Sema chochote my love
Wambieni wapambe twapendana
Marufuku kutengana
Mimi nae twashibana
Haaeee
Mimi Kwako firsty wangu mie
Ya kwetu nafasi nipatie
Utamu wa nanasi nijilie
Coz am crazy for your love
Sina ujanja
Sina ujanja
Sina ujanja
Mimi kwako nyang'a nyang'a
Sina ujanja
Sina ujanja
Sina ujanja
Sema chochote my love