![Tazama ft. David Wonder](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/05/9d8240a73d0344d3929b777400b84a4f.jpg)
Tazama ft. David Wonder Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Tazama ft. David Wonder - Alexis On The Beat
...
City Sounds production
iye iyeh
Ni David Wonder
hey Alexis on the beat
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
jana walisema aaha ah
ulilala njaa Na hukusema aaha ah
Na Leo malaana za babu mwanzo zinakwisha
Na Leo tunaesabu Baraka Kwa yako Maisha
tunaanza Na miguu vidole
mikono vidole
Na saa zimeisha
ata mi sikukanyaga Colle
Yule boy wa kayole
anaweza dhibitisha
muombe akufungue macho uone Baraka zako
muombe akufungue macho uone Baraka zako
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
hatokubali we kuzama Tazama
hebu simama we ng'ang'ana Tazama
usiku Kucha umekazana Tazama
ushindi wako waja mchana Tazama
Leo Ni Leo ooh*3
tunaanza Na miguu vidole
mikono vidole
Na saa zimeisha
ata mi sikukanyaga Colle
Yule boy wa kayole
anaweza dhibitisha
muombe akufungue macho uone Baraka zako
muombe akufungue macho uone Baraka zako
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
tunaanza Na miguu vidole
mikono vidole
Na saa zimeisha
ata mi sikukanyaga Colle
Yule boy wa kayole
anaweza dhibitisha
muombe akufungue macho uone Baraka zako
muombe akufungue macho uone Baraka zako
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
Tazama Tazama Tazama
jionee Tazama Tazama
lyrics written by Sty Khoikhoi