![Nifunze Kunyamanza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/03/e696092fa22a49b69f0a1ab28e9de51b.jpg)
Nifunze Kunyamanza Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2021
Lyrics
Nifunze Kunyamanza - Esther Amisi
...
oeeeeeh weeh eeeeeh oooh
oooooh!
nifunze kunyamaza kimya ila baba ww useme x2
mimi ni mdogo sana sitaweza kuongea kuongea na vinywa vya wanadamu, mwanadamu AMESHA ongeaa nataka sasa useme ,
wanadamu wamesha maliza Yao nataka sasa useme,
Nifunze kunyamaza kimya ila baba wewe useme eee, asili ya mwanadamu ni kuongea, kuongeeea
sitaweza mabishano mengi babaa
nifunze ukimyaaa nisije nikakukoseeea yeeeeesuu
a a a aaaa a a aaaah, wanadamu wamesema sitawezaaaa , nitashindwaaa ila Mimi nakutegemea weeeeeh yesu.
kwani najua mikononi mwako
Kuna uwezaaa,
Kuna ushindiii,
Kuna uziiiiimaàaa
wewe muteteezi weetu ,
nifunze kunyamaza ,
nifunze kuongeaaa,
kweli bila wewe siiitawezaa
oooo oooo oooooh oooo oooooh ooooah
nifunzeee eeeh
eeeeh !
Bado badooo