Mama Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Mama - Rick Jazz Music
...
call me rickojey
eeeieh
eeeeeh Noh
yeah
mami ulinipenda kwa saana eeh
mami kila wakati mami ulikuwa nami eeh
ukutakaka mami niteseke mwanao uuh eeh
mam ukutaka mwanao niumie mami eeeh
mami uliniitaji kwa saana eeh ah
mami ulinipenda kwa saana eeh ah
mami kila kitu niloitaji ukanipa mama uh
mami kila kitu eeeeeh no no no mama
mama eeh ooh mama mama eeh mama
ukanipenda saana mama eeeh
ukanilinda saana mi eeeeeh ah
ukanipenda saana mama eeh ah
ukanilinda saana mi eeeh ahh
ukanipenda saana mama eeeh
ukanilinda saana mi eeeeeh ah
eeh
mami tangu uondokee eeh uh
wanao tumeteseka aah
ingawaje tulikosa chakula mami
mami mwenyezi alitulishaa mama
mami utarudi lini ehh ah
wanao tumekumisi ii ah
angalau usikue sauti yangu mam urudi eh
mami nakumisi mayi wange
mayi wange ah
mayi wange nakhusima mayi wange
mama
mayi wange iieeeeh ah
mamamama
mayi wange wewe
utarudi lini mayi
nimekumiss saana mami
nimekumiss saana mayi
mayi wange eh
mayi wange
utarudi lini mayi
mi ni msanii eh
mi msanii angalau nikuimbie nyimbo mama
njoo mama
uskize wimbo wangu mama ii
machozi yananitoka mama utarudi lini
ah mami ah mami iiieeh
ukanipenda saana mama eeeh
ukanilinda saana mi eeeeeh ah
ukanipenda saana mama eeh ah
ukanilinda saana mi eeeh ahh
ukanipenda saana mama eeeh
ukanilinda saana mi eeeeeh ah
yeah
in loving memory of my mother
Agnes Omuse
we did love you mum
we will meet again mum
Thank you.