Mimi Ni Mshindi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Mimi Ni Mshindi - John Waryuba
...
Verse 1
Usipojua we ni nani we ni nani
shetani atakuambia who your not
Pale unapo okoka unakua kiumbe kipya
Ya kale yote yamepita unapata
maisha mapya wewe
Kama Yesu alivyo mwenye nguvu ndivyo ulivyo wewe duniani
Amekufanya kua mrithi wake wewee
Bridge
Tumetofautishwa sisi namagonjwa
Shida dhiki sio sehemu yetu
Wakianguka ubavuni nakulia sisi tutasimama
Chorous
Mungu akiwa upande wangu mimi
ni nani alie juu yangu
Yesu yupo ndani yangu mimi
Hakuna kilicho juu yangu
Verse 2
Usipojua we ni nani we ni nani
shetani atakuambia who your not
Wewe ni mshindi zaidi ya kushinda
shetani asikudanganye wewe
Alie ndani yako ni mkuu
Kuliko wa ulimwengu
Hakuna silaha itakayo tumwa
Ambayo itafanikiwa kwako
Bwana Yesu ndie mchungaji wetu
Hatutapungukiwa kitu
Bridge
Tumetofautishwa sisi namagonjwa
Shida dhiki sio sehemu yetu
Wakianguka ubavuni nakulia sisi tutasimama
Chorous
Mungu akiwa upande wangu mimi
ni nani alie juu yangu
Yesu yupo ndani yangu mimi
Hakuna kilicho juu yangu
Mpenyo wa kazi,mpenyo wakifedha
Hiyo sehemu yangu.
Maisha marefu,afya bora
Hiyo sehemu yangu mimi
Mafanikio na kumiliki eehh
Hiyo sehemu yangu
Uzima wa milele,furaha na kicheko oohh
Hiyo sehemu yangu mimi.
Chorous
Mungu akiwa upande wangu mimi
ni nani alie juu yangu
Yesu yupo ndani yangu mimi
Hakuna kilicho juu yangu
Asante kwa kusikiliza,Bwana Yesu na Akubariki sana