Igweni Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Eeh igweni
Eeh igweni
Eeh igweni
Igweni igweni
Niko rada mimi sipatikani unawares
Kwa Christo mimi hunipati elsewhere
Thambi nini itabidi imetembea
Kwa yesu tumetulia
Hapa tumepolea
Ebu cheki idhaa, hii ni ile masaa
Fukuza Giza, itabidi umewasha taa
Songa move around, usifiche mshumaa
Injili sambaza, shetani tapakaa
Nina washa moto, kwa vijana na wakoro
Wote wamjue Jesu, amsha kila mudu
Gutiri kubaki toro, preach na mafinyo
Let everybody know, whose on the throne
Uciu nu uciu nu
Uroria jesu nu
Arihwo hakuhe, tumuonii jesu
Iguru, iguru, kuu kwa jesu
Nikuu turathie ithuii
Niko rada mimi sipatikani unawares
Kwa Christo mimi hunipati elsewhere
Thambi nini, itabidi imetembea
Kwa yesu tumetulia
Hapa tumepolea
Kuna bamba
Kuna bamba
Everybody welcome eyy
Kuna bamba
Kuna bamba
Hapa hakuna pressure neey
Everybody welcome eyy
Kuna bamba, kuna bamba
Napiga thambi bye bye
Yesu high five
Sikai kwa sideline, kwake till I die
Forget bout those lies it feels so nice
You bettet come and try
Uciu nu uciu nu
Uroria jesu nu
Arihwo hakuhe, tumuonii jesu
Iguru, iguru, kuu kwa jesu
Nikuu turathie ithuii
Nikuu turathie
Niko rada mimi sipatikani unawares
Kwa Christo mimi hunipati elsewhere
Thambi nini, itabidi imetembea
Kwa yesu tumetulia
Hapa tumepolea
Okay
Ebu cheki idhaa, Hii ni ile masaa
Fukuza Giza, itabidi umewasha taa
Songa move around, usifiche mshumaa
Injili sambaza, shetani tapakaa
Igweni
Uciu nu uciu nu
Igweni
Uciu nu uciu nu
Igweni
Niko rada mimi sipatikani unawares
Kwa Christo mimi hunipati elsewhere
Thambi nini, itabidi imetembea
Kwa yesu tumetulia
Hapa tumepolea