Life (Spoken Word) Lyrics
- Genre:Spoken Word
- Year of Release:2021
Lyrics
Life (Spoken Word) - Favoured Kid
...
FAVOURED KID LIFE(Spoken Word) Lyrics
Yoooh,
Ni Favoured Kid,
With a Spoken Word,
...LIFE...
Life iko sucking manzee hakuna pesa,
Ila sisi daily tunataka kutesa,
Kazi ngumu ila kipato bado lesser,
Struggle is real na imani tutaweza,
Tunazidi kusonga ata wale wakitucheka,
Hatuna worry bcoz God ndo master,
Na atatenda tu time yake ikifika,
So sina worry najua kesho nitafika.
Niko na degree lakini bado natarmac,
Mpaka hapa kule mtaani wamenimark,
Maneno yao mbaya kila siku kuniattack,
Beshte yangu naye alinitoka Mark,
Hii life nafeel kama niko kwa dark
Hizi hardships manzee ni zaidi ya heart attack,
The more unasonga kumbe ndo unaslide back.
Sijui niambie nini mpenzi wangu Caroo,
Juu nimeshindwa hata kumlipia karo,
Na kila siku kumbe mimi ndo tegemeo,
Promises zangu zote zimebakia kuwa ndoto,
Maishani kitu nimebakia nayo ni msoto,
Maybe miracle ifanyike nishinde ata lotto,
Ama nipate kidogo za kucapture photo moto,
Ili wakiniona wanipee sweet names kama vile sonko.
Ata kama life ngumu niko thankful,
Juu manzee God still ako faithful,
Ata zile matime niko unfaithful,
Na promises zake ziko truthful,
Nina imani kesho itakua beautiful,
Bcoz everyday mimi niko hopeful,
That one day nitakuwa successful,
Despite of vile today it's painful,
Nitajituma na kuremain prayerful.
Manzee
Everyday you wake up,
Just go down your knees,
Give thanks to your maker,
And keep going,
Bcoz one day you'll make it,
Just keep Hope Alive.