![Hodi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/10/904d71457469496c8ea349c62e63afac.jpg)
Hodi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Hodi - Zaiid
...
aaah aah aaah aaah!
daxo chal!!
hodi hodi mi nataka kuingia
hodi hodi nimechoka kusinzia
hodi hodi mi nataka kuingia
hodi hodi nilivyojisimamia
vile mi nagonga kwa uchungu, sijakuzoea chautundu
toka lini ukawa na uzungu, hebu toa sauti usiweke mabum bumbu
unaniacha nje kivipii, nimejisimamia kama kisikii, mbona huna haya kibintii
nikiingia nitamwaga njugu ka kibiti