
Baddie ft. Ssaru Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Baddie ft. Ssaru - Mbekki Mswahili
...
Mswahili Ssaru
Kichwa Ni marasta kifua Ni matatoo wanaitanga baddie
Kama dooh nazisaka na nikishazipata Bora kukata maji
------- ananifuata na anachokitaka rungu bila idadi
Nje kifua Ni charter kichwa kimeshawaka vuruga Kama radi
Wananiitanga Baddie X3 Baddie Boy Baddie X3
Am a Baddie X3 Baddie Boy Baddie X3
Baddie Baddie Boy Baddie
Am a Baddie Baddie Boy Baddie (Baddie X4)
Wananiitanga kiwembe (Baddie Boy Baddie)
Hakuna kucheza na madenge ngengenge (Am a baddie)
Mkulima Kama jembe (Baddie Boy Baddie)
-Ssaru-
(Moda)
Am a baddie msupa wa big daddy
And I don't wanna touch make my hands get dirty
Alafu Ni wikendi si ikiweza tuende party
See I pull up with the gang and you pull up with the shawries
Mi ndio Moda izi nguvu ninazo si za giza na waganga
Alafu daily mi hutaka tu kuhakikisha nimewabamba
Na si ata kujigamba nilikafunga na kamba
Mi si Khali
Nawapa hit Kali
Ukiskia vile naspit usinimistake na Khali
Anayejiskia Ni Nani Aje tupimane uzani Alafu tuchafue show ndani ya jiji pale Carni
Baddie X3 Baddie girl Baddie
Am a Baddie X3 Baddie girl baddie
Baddie X3 Baddie Boy Baddie X3
Am a Baddie X3 Baddie Boy Baddie X3
Baddie Baddie Boy Baddie
Am a Baddie Baddie Boy Baddie (Baddie X4)
Wananiitanga kiwembe (Baddie Boy Baddie)
Hakuna kucheza na madenge ngengenge (Am a baddie)
Mkulima Kama jembe (Baddie Boy Baddie)
Oooh Oooh Oooh
Hili shimo la maninja hata majeshi hayaweki kambi
Oooh Ooh Ooh
Ona tuje kuchinja alafu tuokote lambilambi
Aaaaah Chinja ( Chinja)
Wahuri Chinja ( Chinja)
Wasee wasee wa kihina( Chinja)
Slay queen wa kuringa ( Chinja)
Oooh Chinja ( Chinja)
Mwanangu Chinja ( Chinja)
Wamorio wa kufeki ( Chinja)
Na kujifanya mabestie ( Chinja)