Sokomoko Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2021
Lyrics
Sokomoko - Ibra Melody
...
Eeeeeih (Mama) eeeeeiiih......!! Eeeeeiiih (Mamaa)
Verse 1
Asubuhi na mapema nimeamka, nashituka hapo pembeni nimetapika najiuliza sana nimefanya nini eeeeh na wewe umenuna hutaki nikusemeshe.
Najiuliza sana nimefanya nini eeeh na wewe umenuna hutaki nimusemeshe.
Ukweli jana nililewa lakini nilipo kosea wapi uniambie (Mamaa Mamaa)
Mbona sikuwa na machangudoa nikipokosea wapi unisamehee Mamaa mamaa.
Umeshika mabegi unataka kuondoka unasema hunitaki tabia zangu umechoka x 2
laaa....! laaa...! laaa...! (unataka kuondokaa)
laaa...! lalalalaaa...! (tabia zangu umechoka)
Chorus
Mama alisema unamapenzi ya dhati( nikung’ang’aniee, nikung’ang’anie, nikung’ang’aniee,nikung’ang’anie, nikung’ang’anie)
Mama alisema kukuacha hataki
(nikung’ang’aniee, nikung’ang’anie, nikung’ang’aniee,nikung’ang’anie, nikung’ang’anie)
Verse 2
Wahenga walisema mvumilivu hula mbivu(nivumilie) nami nina mapungufu, nizoee mpenzi wangu(mpenzii) naporudi usiku usinikimbie, naona tabu kukosana nawe na nilivokuzoea nipate wapi mwingine
Tabibu wa ugonjwa wa moyo, usinichukiee, usinichukie
Chorus
Umeshika mabegi unataka kuondoka unasema hunitaki tabia zangu umechoka x 2
laaa....! laaa...! laaa...! (Unataka kuondokaa)