
Mema (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mungu wangu natamani
nikuabudu siku zot maisha yangu
yawe sadaka
nikufuate milele
unachotaka niseme nitasema
unapotaka niende nitaenda
mapenzi yako yafanyike
mapenzi yako yafanyike
nisikie ukisema mema*
nisikie ukisema mema
nisikie ukisema mema
nisikie ukisema mema
wimbo ninaimba utukuke
maisha ninaishi (yesu) utukuke
popote niendapo utukuke
chochote nifanyacho utukuke
fikira zangu Bwana utukuke
maneno ya kinywa changu Yesu utukuke
kila niendapo utukuke
utukuke, utukuke
fikira zangu Yahweh (utukuke) utukuke
kila niendapo utukuke
nikupendeze nikupendeze nikupendeze
utukuke eeeeehh utukuke utukuke
nisikie ukisema mema
nisikie ukisema mema
nisimame mbele zako
nisikie ukisema mema
nisikie ukisema mema