![Serebuka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/04/b0da936993aa4b9b8f6f47600b4a3e32H3000W3000_464_464.jpeg)
Serebuka Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Sato imefika
Hamna form tuende thika kwenye wako thicker
Na zangu zimeshika
Na bado clabu sijafika nimewajibika
Call Peter
Juu mafuta kwa gari imebaki ni soo
Saa sita
Makarau wako rada na si t'ko mandom
Washa tu kisensi chain tukimedi
It's a good like so we'll do it again
Ruka kwenye dance floor juu ni party after party
Tumedunga patty patty
Ruka kwenye dance floor juu ni party after party
Tumedunga patty patty
Yeah...
Sunday to Sunday naserebuka
Sahau shida na panda shuka
Me niko maji zimelipuka, zimelipuka na hazijashuka
Sunday to Sunday naserebuka
Sahau shida na panda shuka
Me niko maji zimelipuka, zimelipuka na hazijashuka
Zimekataa kushuka zimelipuka
Kataa kushuka
Zimelipuka
Piga hodi, lipa kodi nikuonyeshe kuodi through your body
Mali safi, sura safi, roho safi
Ntakuwifey
Lakini sina jokes, na me sitakuhoax kamat'ya roho chafu story zetu itapox
Na kama ni detox, saa mbili tukienda saa saba itupate pale kweney liquor vendor
(Lakini sina jokes, na me sitakuhoax kamat'ya roho chafu story zetu itapox
Na kama ni detox, saa mbili tukienda saa saba itupate pale kweney liquor vendor)
Sunday to Sunday naserebuka
Sahau shida na panda shuka
Me niko maji zimelipuka, zimelipuka na hazijashuka
Sunday to Sunday naserebuka
Sahau shida na panda shuka
Me niko maji zimelipuka, zimelipuka na hazijashuka