![Rudi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/30/295828e01e1a4ef1bd2bd8b8c9079828_464_464.jpg)
Rudi Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
I'm writing a letter
To my long lost love
Cause its been forever
Since I felt your touch
Wajua nakupena
Lakini siku zinaenda
I need you back
I've tried not to think about you
But my heart only beats for you
I need you back
I can't deny, no
That I miss you babe
I can't deny, no
That
Kukumisi imenifunza adabu
Bila wewe mimi sio binadamu
Ninajua niliteleza
Nakubembeleza ukiweza
Rudi home, oooh
Mpenzi rudi home
Rudi home, home
Mpenzi rudi home
Nakumbuka uchungu niliohisi ulipotoka
I remember maumivu niliohisi
Ulipoema umechoka
Je ni maua sikuleta ya kutosha
Ama sikuwapiga walipokuchokoza
Ama siku yak ya kuzaliwa sikukuja kukuosha
Je ni maua sikuleta ya kutosha
Ama sikuwapiga walipokuchokoza
Nieleza, niambie ili fikra zangu zitulie
I can't deny, no
That I miss you babe
I can't no
That
Kukumisi imenifunza adabu
Bila wewe mimi sio binadamu
Ninajua niliteleza
Nakubembeleza ukiweza
Rudi home, oooh
Mpenzi rudi home
Rudi home, home
Mpenzi rudi home
Oh, Rudi home
Rudi home