
No Retire Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
No Retire - Jaivah
...
Artist : Jaivah
Song : No Retire
Type : Lyrics
Intro:
Whaaat..Wanaopenda ku'dance na hii jee..!?
Oya Jaivah Striker..
Whaaat…..Ayayaya yaya yayaaaa(Kido Sound)
Verse 1
Eeeh..Come on my sister
Just hear me out I can be your mister
Hey..achana na huu wembamba wa reli
Ninanguvu kama Batista
Hey..au nikuache utembee
Au kama unaona sawa tuendelee
Au unataka pedeshee
Mwenye magari majumba na mapene bwelele
Wanawake ni gharama
Mi najua kila kitu kwako we ni gharama
Mi najua hata kula kwako tu ni gharama
Hata nikikupeleka Sinema ni gharama
Ila huku kwetu hakuna makeke
Kuna Dj Mack huku achechee
Kuna visambusa na viguu vya kuku
Kama unapenda kulakula achechee
Eeh….
Chorus
Ayayayaaa I'm always on di fire
You can call me a sweet liar
Hunting girls no retire X2
Eeh No Retire(No Retire)
No retire(no retire)
No retire
Hunting girls no retire(no retire)
Eeh No Retire(No Retire)
No retire(no retire)
No retire
Me I say no retire(no retire)
Verse 2
Nikamla akapita
Sasa nimehamia huku Insta
Nyumbani kwa masister duu
Huku nawapiga tu matik tak
Ila huku ndio utoe ili upate
Mawigi mzee wa vikao Aristote
Ingawa ninavitambo sina lolote
Itabidi aliwe tu kivyovyote
Maana kila kitu tunaendana
Mtoto Kim bila Nana
Hilo body ni laana eeeh
Akitembea nyuma danadana
Anacheko mwanana
Acha aonje banana
Si walikudanganya kwa chipsi
Huku utapata mambo yote bila kiki
Utasuka mitindo ya nywele kila wiki
Au unataka nywele kwa Jonijo kama Gigi
Shida labda sisi sio pesa
Nitakuchukulia Lamborghini sio Chaser
Achana na wahuni nina pesa
Mi nakabwa na majini kisa pesa
Eeeh..
Chorus
Ayayayaaa I'm always on di fire
You can call me a sweet liar
Hunting girls no retire X2
Eeh No Retire(No Retire)
No retire(no retire)
No retire
Hunting girls no retire(no retire)
Eeh No Retire(No Retire)
No retire(no retire)
No retire
Me I say no retire(no retire)
….x…..x…..x….x….END….x……..x…..x……..