![Kareke ft. Anode Matipsy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/28/f37b83beae1747eebc6963c1ee8705ce_464_464.jpg)
Kareke ft. Anode Matipsy Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2021
Lyrics
Kareke - Angry Panda Clan
...
Chuchu chuchu chuchu
Oya oya mbio zianze
Ni angry panda ingine tena
Na kijana risky kwanza akiwa tipsy
Anode ma tipsy aiii
Dogo dogo baby girl ukitingisha
Niko na bakuli pakua nikiitisha
Niliomoka ulikotoka utaingia nikitoka wateke wateke kare kare kare kareke
Kata maji na kwani kareke
Piga na mashebede na kwni kareke
Vuta shash na kwani kareke
Ukipata nikusonga na kwni kareke
Kareke kareke na kwani kareke
Kareke kareke na kwani kareke
Kareke kareke na kwani kareke
Kareke kareke na kwani kareke
Si ni big deal na handle big things
Ju nikiangusha mistari nikaa naku harass
Mpaka mbeide amebeba biggy hizu vitu mfat
Booty ya shakila haiezi funika harass
Shika na hio waist ,songa na hio pace
Akibamba sana mteke umade hio case
Wasupa ku replace, hawapendi ku debate
Lkini baby momma juwa hafikishangwi base
Awouh
Pipe shikanishe kwake mi ndio plumber
Ngoma inacheza kwa doba ni angry panda
Naweza washika mistari ya shada yoyote ni digi
Bora mwisho nitakanja
Kata maji na kwni kareke,piga na mashebede na kwani kareke
Vuta shash na kwani kareke,ukipata nikusonga na kwani kareke
Kareke kareke na kwani kareke x4
Aya aya washa kikoro si kifegi
Ka hunipendi meza wembe na udedi
Vile nawabeba mi ndio mkurungezi
Wahepi makeki tulianza kumedi,ni saa nane naamka jana nilikuwa healthy
Na nikicheki nimedoz na makeki
Sikumbuki kitu manze nika nimebleki
Maungo nayo inaniuma videdly
Nikaseti nikaanza kumedi kucheky cheky kumbe ni kina becky
Ule ex wngu anakuanga na ma dredi
Nilimuita dunda akakuja na mbogi
Kunikanganya,kunichanganya huyu denge anakuanga ameni fanya fanya
Sikutepwa nilishikwa nikalemewa,na akalipa bill sahi wamelala
Kata maji na kwani kareke,piga na mashabede na kwani kareke
Vuta shash na kwani kareke,ukipata nikusonga na kwani kareke
Kareke kareke na kwani kareke x4
Pale orosho na sere na mangoko
Zikinyc nikuwacha we matoko
Nakama boy ni fala akule ngoto
Na akikam sana anakutana na kushoto
Zimeshika tunamedi na tu na rwembo
Pale donse kukula na roremo
Mi hudandiwa kama shogi za manyanga
Na bado kanaringa kanajiona mjanja
Nko ready nizidi kwa bedi niseti mahedi ni medi kudedi
Hawa madem hawaogopi ukedi tumbo ndio nafanyanga waskiekudedi
Tukae rada unaeza pata ngweno ukizee ukilazy unaeza kula men’go hio din’g inazunguka fty kwa bengo kaa unyonyoa buda utadhani ni mapengo
Kata maji na kwni kareke,piga na mashabede
na kwani kareke
Vuta shash na kwni kareke,ukipata nikusonga na kwni kareke
Kareke kareke na kwani kareke x4
Mhhh mhhhh
Kwani mi shina
Kareke kareke na kwani kareke x4