
Someday Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2021
Lyrics
Someday - Just Ontita
...
Maisha haya ni kupenda na kushuka
Japo ninangangana na Imani nitafika
Maisha haya ni kupenda na kushuka
Japo ninangangana nina Imani nitafika aha ah
Mimi ninafahamu bila wewe sitaweza
Hivo ninakusihi sana wewe uwe na subira
Huku nje Kuna mafisi wengi
Wako ready kukupokonya mpenzi
Ila naomba usiwape nafasi no no no no
Huku nje Kuna mafisi wengi
Wako ready kukupokonya mapenzi
Ila naomba usiwape nafasi no no no no