Nataka Wajue/I Love You Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Nataka wajue kwamba nakupenda
Ni wewe tu jua nakupenda
Nataka wajue kwamba nakupenda
Ni wewe tu jua nakupenda
Marafiki
Wajue wajue wajue
Ndugu zangu
Wajue wajue wajue
Dunia nzima ahahaa ayaaa
Will you keep your love for me
Sometimes I miss you wanna be with you
Napenda ukinikiss Girl your know is True
Baby kwako nasarenda
Miaka mia kenda
Umenifunga mikanda
Nakosa ata pa kwenda
Nikikuona kama napigwa shoti ya Umeme
Na ninavyokupenda
Nimezama kidume
Nataka wajue kwamba nakupenda
Ni wewe tu jua nakupenda
Nataka wajue kwamba nakupenda
Ni wewe tu jua nakupenda
Marafiki
Wajue wajue wajue
Ndugu zangu
Wajue wajue wajue
Dunia nzima ahahaa ayaaa
I love you I love you
I love you I love you
I love you I love you
I love you I love you
I just wanna let them know
I love you
Girl you keep me strong
I need you
Love original
I love you
Never let you go
I need you
Nikikuona kama napigwa shot ya Umeme
Na ninavyokupenda
Nimezama kidume
Nataka wajue kwamba nakupenda
Ni wewe tu jua nakupenda
Nataka wajue kwamba nakupenda
Ni wewe tu jua nakupenda
Marafiki
Wajue wajue wajue
Ndugu zangu
Wajue wajue wajue
Dunia nzima ahahaa ayaaa
I love you I love you
I love you I love you
I love you I love you
I love you I love you