
Tawala Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Tawala - Ben Cyco
...
bwana we ni dereva endesha maisha yangu chukua na usukani bwana Tawala
bwana we ni mchungaji ongoza mwana wako nishikilie mkono bwana Tawala
CHORUS
wewe ni amani ya moyo yangu ,chagua la moyo wangu x2
wewe ni kila kitu changu x5
Guza guza baba eeeh , guza yote yanayonihusu
tenda tenda baba eeeh , makuu na miujiza jionyeshee baba
ukitenda unatenda maradufu, pendo lako kamili sio nusu bwana wee bwana unafanya mema x2
CHORUS
Maisha yangu, kazi yangu , familia yangu bwana Tawala
Ndoto yangu , afya yangu, ndoa yangu bwana Tawala
CHORUS.........