Mwaka Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mmmmh
Bwana
Oooh
Lord I know
Umeahidi ni mwaka wangu
Baraka teletele zi kwa njia yangu
Kuna neema juu yangu
And I know
Unanena mema juu yangu
Unatengeneza njia kwa ajili yangu
Kuna meza mbele ya adui zangu
Yes I know
Nimeona kwa neno lako
Ukitenda miujiza, ukifanya mambo
Baba utatimiza ahadi zako
Naomba
Ukibariki kazi yangu
Baba nisidhani ni ujuzi wangu
Hizi baraka sio zangu
Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu)
Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu)
Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu)
Lord I know
Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu)
Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu)
Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu)
Lord I know
Nimeambiwa mara mingi ati ni mwaka wangu
Kisha miezi ikapita sijapata changu
Nikachoka kuamini nina mwaka wangu
But now I know
Ukisema kwamba huu ni mwaka wangu
Ni mapenzi yako kufanyika kwa Maisha yangu
Na nizalishe matunda kwenye wito wangu
Yes I know
Nimeona kwa neno lako
'Kitenda miujiza, ukifanya mambo
Baba utatimiza ahadi zako
Naomba
Ukibariki kazi yangu
Baba nisidhani ni ujuzi wangu
Hizi baraka sio zangu
Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu)
Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu)
Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu)
Lord I know
Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu)
Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu)
Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu)
Lord I know
Bwana ninakuomba, tembea nami huu mwaka
Yote ninayo yafanya yawe yamebarikiwa
Bwana ninakuomba, niongoze huu mwaka
Yote ninayoyapanga yatafanikishwa nawe
Bwana ninakuomba, tembea nami huu mwaka
Yote ninayo yafanya yawe yamebarikiwa
Bwana ninakuomba, niongoze huu mwaka
Yote ninayoyapanga yatafanikishwa nawe
Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu)
Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu)
Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu)
Lord I know
Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu)
Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu)
Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu)
Lord I know